FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

Simpendi Onana...
Luis Namkubali Sana japo mi n Yanga lakini my little boy Nimmempa jina la Miquissone kumuenzi jamaa.. natamani arudi kwenye kiwango chake cha zamani
Aweee...msalimie litle lion wetu japo baba yake ni Yanga..
 
Unafanya kitu mpaka mpinzani wako anakupa heko

Nimeipenda hii slide tackling ya Israh kwa Kaseke
 
Nimesha follow tayari, had Man city yangu pia.
Ahsantee, sikua najua hata. Mie tsup enyewe naweza kaa hata siku 2 sijafungua.ha
Hahaha safi basi hapo mwanalunyasi umemaliza huko hakuna ma comments ya kero ni tunaona updates tuu...
 
Nimesha follow tayari, had Man city yangu pia.
Ahsantee, sikua najua hata. Mie tsup enyewe naweza kaa hata siku 2 sijafungua.
Lakini Gongowazi kaiiga nickname ya ManCity πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jichanganyeni Mpite Tukutane Huko Mbele, Tuwajaze Vizuri, Maana Mshanogewa
Nyie kutufunga juzi haimaanishi nyie ni wababe kwetu tutapimana nguvu next match..msimwage mimaji maiti yenu tena uwanjani...
 
Mbna mie cna hiyo Chanel, hebu nitumie links dyadyaa
Ku share uku ni mitihani mpaka uwe na namba ya mtu ndo unaweza share, nenda watsap tu sehemu ya channels such simba kama hujaupdate watsap yako muda mrefu update kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…