FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

Match Day
Simba Vs Singida FT FC.
Time: 20:15.

View attachment 2860453

All the Best Mnyama
#nguvumoja#

Hii Match ni muhimu kwa Simba ila haina Pressure kabisa.

Simba wanahitaji point 3 ili kuingia robo fainali.

Nimejaribu kutengeneza Standing Table ya Kundi B.

Singida FG yeye ameshaingia Robo fainali, anakuja kukamilisha ratiba tu.

Tizama Msimamo wa Kundi B
View attachment 2860651

Simba anapaswa kushinda hii game ili game ya Mwisho na APR iwe rahisi zaidi.
Singida Fg hapa itabidi waingize kikosi B.
Hawana cha kupoteza na nitawashangaa sana endapo watakamia
 
Wacheze wanavyoweza, sio wagongwe mje na kisingizio hakuna cha kupoteza.
Watake watafungwa, Wasitake watafungwa!!
 
Match Day
Simba Vs Singida FT FC.
Time: 20:15.

View attachment 2860453

All the Best Mnyama
#nguvumoja#

Hii Match ni muhimu kwa Simba ila haina Pressure kabisa.

Simba wanahitaji point 3 ili kuingia robo fainali.

Nimejaribu kutengeneza Standing Table ya Kundi B.

Singida FG yeye ameshaingia Robo fainali, anakuja kukamilisha ratiba tu.

Tizama Msimamo wa Kundi B
View attachment 2860651

Simba anapaswa kushinda hii game ili game ya Mwisho na APR iwe rahisi zaidi.
Kila la kheli Chama letu kwa muda, Singida Fountain Gate..!!! Piga hao Makolo..!!
 
Kuuliza si ujinga, hivi haya makundi sio ilipaswa kuchezwa home/away? Utaratibu wake ukoje?
 
Kuuliza si ujinga, hivi haya makundi sio ilipaswa kuchezwa home/away? Utaratibu wake ukoje?
Michezo ya Mapinduzi yote yanachezewa Zanzibar, tena nafikiri ni kwenye uwanja mmoja. hakuna maan ayakuweka home and away.

Kila kundi linatoa timu 2 ambazo zinaingia robo fainali.
 
Kwa hiyo jumla ya michezo no mitatu tu?
 
Wacheze wanavyoweza, sio wagongwe mje na kisingizio hakuna cha kupoteza.
Watake watafungwa, Wasitake watafungwa!!
Time will tell kama hiyo watake au wasitake ni ya Singinda au 5imba..!!!
 
Singida tunawatakia ushindi mnene
hakuna ulazima wowote wa Singida fg kushinda hii game.

kwanini utumie risasi kuua kitu kisichokuwa na manufaa? nawashauri washughulike na hatua ya robo fainali sasa. mpira ni mbinu
 
Kocha aanze na kikosi kile kile ili tuone improvement na baadhi ya makosa kama yamefanyiwa kazi. Wachezaji 3 ambao wamelaumiwa sana - Jimmyson, Chilunda na Duchu mi naona hawa wanahitaji dakika zaidi uwanjani ili waonyeshe walichonacho kumbukeni wamekaa benchi sana na kama mnavyojua mchezaji asipocheza week in week out ni anakwisha. Miquisoone pia bado hajawa kwenye ubora wake ingawa alihusika kwenye magoli 2 kati ya yale 3. Generali vilevile bado kurudi kwenye ubora wake ingawa anatia moyo.

Otherwise naona Simba akimwadhibu vikali Singida.
 
Back
Top Bottom