FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

PSX_20240103_193340.png

APR wameharibu hali ya hewa.
We must win this game!!
 
Jamaa anahojiwa anasema eti ukanda wa East na Central Africa role modelni makolo. Ukimuangalia hata sura yake yake haikubaliani na anachoongea yan taswira inamsuta. Nimeishia kuona aibu mimi
 
Match Day
Simba Vs Singida FT FC.
Time: 20:15.
View attachment 2861143
All the Best Mnyama
#nguvumoja#

Hii Match ni muhimu kwa Simba ila haina Pressure kabisa.

Simba wanahitaji point 3 ili kuingia robo fainali.

Nimejaribu kutengeneza Standing Table ya Kundi B.

Singida FG yeye ameshaingia Robo fainali, anakuja kukamilisha ratiba tu.

Tizama Msimamo wa Kundi B
View attachment 2861139
Kikosi cha Simba Kitakachoanza.

View attachment 2861142

Simba anapaswa kushinda hii game ili game ya Mwisho na APR iwe rahisi zaidi.

Match Nyingine Ya Kundi B,
Imemalizika APR 3 - 1 JKU.

Hii inatoa sababu ya Simba kushinda Mechi ya Leo ili kujihakikishia nafasi ya Kuingia robo fainali.
HIli jukwaa la updates ya mechi ya Simba peke yake au Singida na Simba? Tuma vikosi vyote tuone acha uwoga bwa mdogo
 
Boli Linakaribia kuanza...!

Timu ndogo Zote ambazo hazimo ndani ya 10 Bora za CAF njooni mjifunze Kutoka kwa Giant from East Africa- SIMBA
 
Match Day
Simba Vs Singida FT FC.
Time: 20:15.
View attachment 2861143
All the Best Mnyama
#nguvumoja#

Hii Match ni muhimu kwa Simba ila haina Pressure kabisa.

Simba wanahitaji point 3 ili kuingia robo fainali.

Nimejaribu kutengeneza Standing Table ya Kundi B.

Singida FG yeye ameshaingia Robo fainali, anakuja kukamilisha ratiba tu.

Tizama Msimamo wa Kundi B
View attachment 2861139
Kikosi cha Simba Kitakachoanza.

View attachment 2861142

Kikosi Cha Singida FG Kinachoanza
View attachment 2861159

Simba anapaswa kushinda hii game ili game ya Mwisho na APR iwe rahisi zaidi.

Match Nyingine Ya Kundi B,
Imemalizika APR 3 - 1 JKU.

Hii inatoa sababu ya Simba kushinda Mechi ya Leo ili kujihakikishia nafasi ya Kuingia robo fainali.
cc; Cookie , Active
Twende Live Chap kwa haraka.
 
Back
Top Bottom