FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

Hapo kubwa jingwa linaenda kuchezea kichapo cha paka shume.
 
Simba 2
Singida 1
 
Wacheze wanavyoweza, sio wagongwe mje na kisingizio hakuna cha kupoteza.
Watake watafungwa, Wasitake watafungwa!!
Endelea kucheza kalibu na jumba la dondora tu.
 
😅😅😅 hapa ndio tunaanza kuona ubovu wa kocha wa 2 kwa ubora Afrika ya msimbazi!. Kwa kikosi lonyalonya hiki Cha simba, tutegemeee mnara wa 3 au 4G kabisa.
 
Simba anakazwa leo, alafu anashika nafasi ya pili anadondokea mikononi mwa Azam 🤭🤭🤭 Ila nyiee
 
hakuna ulazima wowote wa Singida fg kushinda hii game.

kwanini utumie risasi kuua kitu kisichokuwa na manufaa? nawashauri washughulike na hatua ya robo fainali sasa. mpira ni mbinu
Ulazima upo kwenye kutengeneza jina..!!
 
Singida Fg hapa itabidi waingize kikosi B.
Hawana cha kupoteza na nitawashangaa sana endapo watakamia
Hata kama hatuna cha kupoteza, sisi Singida tunaweka full mkoko. Kama kukamia na nyinyi mtukamie tu halafu tukutane baada ya dk90
 
kwamba mechi ya singida mnataka iwe ya majaribio? Benchikha ni mtu mwenye tamaa ya makombe na mapicha picha hawezi kufanya huo ujinga hao akina duchu wataozea benchi kama lilivyo jina la kocha wenu
 
Ili kukiepuka kikombe cha kukutana na yanga singida watahakikisha wanashinda hii game
 
kwamba mechi ya singida mnataka iwe ya majaribio? Benchikha ni mtu mwenye tamaa ya makombe na mapicha picha hawezi kufanya huo ujinga hao akina duchu wataozea benchi kama lilivyo jina la kocha wenu
Duchu akikaa benchi nani ataanza kwa mtazamo wako?
 
Duchu akikaa benchi nani ataanza kwa mtazamo wako?
Anaeza cheza Israel, kwakuwa hatuna beki namba tatu zaidi ya Hussein, daah ila usajili wa simba ni pasua kichwa kwakweli
 
Naiona Yanga ikichukua ubingwa wa ligi ikiwa bado mechi 15 mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…