FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

Boli Linakaribia kuanza...!

Timu ndogo Zote ambazo hazimo ndani ya 10 Bora za CAF njooni mjifunze Kutoka kwa Giant from East Africa- SIMBA
Point ā˜ļø
 
Dakika Ya Kwanza Simba tunapata kona Mbili Mfululizo.

Moto unawaka Hapa.
 
Narudia tena, Hii game ni lazima Simba ishinde.

No way out
 
Phiri anazamisha hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…