FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

Bocco Atokea.
Aingie Baleke, aongeze amsha amsha pale mbele, naona kuna goli 2.
 
Laiti kama SIMBA itakukuja kupata kiungo mwingine findi atakasaidiana na NGOMA ...Simba kati itatisha
 
Hizi faul moja itazaa
 
Nyinyi Wasubirini size yenu Jamus..!

Hizi ni Level tofauti kbs...
Mimi Simba hadi Kadi nnayo, naumia kishenzi inavyocheza butuabutua hii. Wachezaji wanacheza faul zisizo na mantiki yoyote. Stamina hakuna, utulivu hakuna, poor communication kati yao, pass accuracy zero kabisa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…