FT: Simba SC 2-0 Tabora United | NBC Premier League| Azam Complex | 06.05.2024

FT: Simba SC 2-0 Tabora United | NBC Premier League| Azam Complex | 06.05.2024

Unajua hatustuki sababu Yanga nae ni kama anasinzia hiv ila gape likiwa kubwa wataamini kweli team imekufa watajitafakari.
Mpaka sasa gap ni point 15 ujue. Kinachopambamiwa kwasasa Simba ni kucheza klabu bingwa msimu ujao.
 
Back
Top Bottom