FT: Simba SC 2-0 Tabora United | NBC Premier League| Azam Complex | 06.05.2024

Mpaka sasa gap ni point 15 ujue. Kinachopambamiwa kwasasa Simba ni kucheza klabu bingwa msimu ujao.
Yes.
Kuwa bingwa wa ligi labda Uto apokwe points.
Muhimu ni timu icheze Champion League
 
Unajua hatustuki sababu Yanga nae ni kama anasinzia hiv ila gape likiwa kubwa wataamini kweli team imekufa watajitafakari.
Tukishinda leo gape inapungua.
Azam anatuzidi point 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…