FT: Simba SC 2-0 Tabora United | NBC Premier League| Azam Complex | 06.05.2024

Chochote tu ilimradi waondoke na point 3.
Nafasi ya pili inanukia. kwa nguvu. Itakuwa ni aibu sana kushindwa na Azam kwenye kinyang'anyiro cha nafasi ya pili, ambayo ndiyo iko kwenye uwezo wa timu zote mbili.
 
Dk 53'
Ball linatembea.
1-0
 
Kkwani
Kwani huyo babu aliyesimama na Onana ni nani?
 
Nafasi ya pili inanukia. kwa nguvu. Itakuwa ni aibu sana kushindwa na Azam kwenye kinyang'anyiro cha nafasi ya pili, ambayo ndiyo iko kwenye uwezo wa timu zote mbili.
Simba inapaswa kucheza Champion League
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…