Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"GoooooooooooalSio Saidooo.
Ni Sadio
Nafasi ya pili inanukia. kwa nguvu. Itakuwa ni aibu sana kushindwa na Azam kwenye kinyang'anyiro cha nafasi ya pili, ambayo ndiyo iko kwenye uwezo wa timu zote mbili.Chochote tu ilimradi waondoke na point 3.
Kwani huyo babu aliyesimama na Onana ni nani?View attachment 2982634
All the Best Mnyama 🦁
Updates za Mchezo wa Leo..
Kikosi cha Simba Kinachoanza.
View attachment 2982649
Updates...
Mpira unaendelea kwa kasi Kidogo.
Simba wanajaribu kufanya mashambulizi kwenye lango la Tabora
DK 5'
Game on
0-0
DK 10'
Mpira unaendelea
0-0
DK 19'
Goooooooooooal
Sadio Kanoute anatia goli wavuni.
Simba wanapata goli la kuongoza hapa.
1-0
DK 35'
Game On
Matokeo ni 1-0
Bado Simba anaongoza kwa goli moja.
View attachment 2982733
Kipindi Cha Pili.
DK 49'
Game On
1
AsanteNi mimi
Chumaaaa Tabora 1
Aah kabisa ww ni familia...😀 😀 😀 😀 😀 huyo mtani wangu mkuu
Ookey sawa ajirekebisheakipoteza mali anacheza sana rafu atoi pasi kwa wakati
Tumewafunga spidi gavanaAaah hawa tabora hebu wajikaze, au mshawakaza?🙆🙆🙆