FT: Simba SC 2-0 Tabora United | NBC Premier League| Azam Complex | 06.05.2024

FT: Simba SC 2-0 Tabora United | NBC Premier League| Azam Complex | 06.05.2024

Nyie mwiko nyuma mmesahau dhuluma yenu kwa kagera sugar??
Basi wapewe moja lao...
 
Goli la pili la simba halikupaswa kukubaliwa. Tuna waamuzi wa hovyo sana
 
Tabora anaadhibiwa vizuri tu..... Lkn sasa Walalamishi ni Utopolo. Ukisikia nchi hii ni ngumu ndo hivi sasa
Wanavurugwaa mbayaaa, hawana hata muda na team yao.
Wako buzzy na sisi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom