FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

Kitambi chakufutia tachi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
1,063
Reaction score
2,566
Salaam wakuu.

Mshikemshike wa ligi ya NBC PL kuendelea leo ambapo mnyama mkali na mafundi kandanda Simba sc a.k.a WANALUNYASI watakipiga dhidi ya timu ngumu ya IHEFU FC kutoka Mbeya.

Simba wanaenda kwenye mchezo huu wakiwa nafasi ya pili na alama 15 baada ya kucheza michezo 5 akishinda yote huku wakifunga mabao 14 na kuruhusu mabao 4.

wakati huohuo IHEFU wapo nafasi ya 11 wakiwa na alama 7 baada ya kucheza michezo 6 wakiwa wameshinda michezo 2 sare 1 na kupoteza 3 huku wakiwa wamefunga mabao 3 na kuruhusu mabao 5.

Mchezo huu utakuwa mubashara hapa jamii forum.
Kwa uchambuzi, vikosi na usimulizi wa mchezo huu wa kukata na mundu basi kuwa karibu na uzi huu.
F9i1Xd5W4AA-zlP.jpeg

F9i2ugvWEAAG_zB.jpeg

F9i0LoXWoAEl6K8.jpeg
 
Mechi pekee ambayo ukiibetia ni SALAMA kwa PESA yako...
Wahi odds mapema betpawa

Code. 6F7E326
 
Japo Mimi ni mchambuzi ( neutral)

Lkn nawaunga mkono mbogo maji ihefu...
 
Salaam wakuu.

Mshikemshike wa ligi ya NBC PL kuendelea leo ambapo mnyama mkali na mafundi kandanda Simba sc a.k.a WANALUNYASI watakipiga dhidi ya timu ngumu ya IHEFU FC kutoka Mbeya.

Simba wanaenda kwenye mchezo huu wakiwa nafasi ya pili na alama 15 baada ya kucheza michezo 5 akishinda yote huku wakifunga mabao 14 na kuruhusu mabao 4.

wakati huohuo IHEFU wapo nafasi ya 11 wakiwa na alama 7 baada ya kucheza michezo 6 wakiwa wameshinda michezo 2 sare 1 na kupoteza 3 huku wakiwa wamefunga mabao 3 na kuruhusu mabao 5.

Mchezo huu utakuwa mubashara hapa jamii forum.
Kwa uchambuzi, vikosi na usimulizi wa mchezo huu wa kukata na mundu basi kuwa karibu na uzi huu.
Simba Nguvu Moja ..kwa sauti ya kizungu ya Infantino
 
Kumbe Leo ni Simba na mume wao....
Hii timu ya mume wao ndo ipi na inatoka wapi?
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom