FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

Safi, Kocha ameanza na Kikosi kipana, Tuko serious sana kwa kweli...
 
We are going to kill somebody
 

Attachments

  • 20231028_184046.jpg
    20231028_184046.jpg
    555.9 KB · Views: 1
Kutoka AFL mpka kucheza na Ihefu! zile kelele za sisi ni wakubwa kwisha maregeya

Simba amepata BILIONI 8 super league.
Maandalizi BILIONI 5.5
robo fainali BILIONI 2.5

JUMLA KUU BILIONI 8

NA RAIS WA FIFAJEAN INFANTINO NI SHAHID WA KUTOSHA.
NGUVU MOYA
 
Back
Top Bottom