FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

Jf ya sasahivi sio ile tuliyokuta 2009. Ukichangia Akija mtu kutofautiana na uchangiaji kitu cha kwanza ni matusi na sio kupinga kwa hoja , moderator unafuatilia hii Hali ya matusi au matusi ni halali ??
Mtindo huu unashusha hadhi ya jf .
Moderators wenyewe Ni Hawa wa 2000s
 
Nimegundua humu tuna share na watoto wetu wa kambo, haki ya mungu.
Kwa umri nilionao mtoto aliezaliwa 2000 ni mwanangu kabisa.

Kwahiyo tuishi nao tu, huku tukiwafunza adabu ambazo wazee wao wameshindwa kuwapa.
Kiufupi nimemsah kabisa huyo kijana.
Hili me niliona siku nyingi wapo mpaka wanaolingana na JF kwa umri humu Wanalingana na Jambo forum
 
Simba leo mnanifurahisha sana Mmemchapa mapema Sana mbabe wa mtu (AkA mungu wa Yanga)
 
  • Thanks
Reactions: BRN
🤣🤣🤣 Naona Ihefu wanatengeneza mazingira yakupigwa waseme bahasha
 
Back
Top Bottom