dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Moderators wenyewe Ni Hawa wa 2000sJf ya sasahivi sio ile tuliyokuta 2009. Ukichangia Akija mtu kutofautiana na uchangiaji kitu cha kwanza ni matusi na sio kupinga kwa hoja , moderator unafuatilia hii Hali ya matusi au matusi ni halali ??
Mtindo huu unashusha hadhi ya jf .