FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

Ni dakika ya 28 tu, ila Ihefu washachoka sana
 
Naona kama tumekosa mbinu kidogo hapa Mnyama au mimi naonaje?
 
Nilitamani leo KIBU sngempisha mapema ..PHIRI
 
Nilijua hizi mistake za Ihefu kuanzishiana mpira hapo kwa hapo zitawagarimu sana
 
Back
Top Bottom