FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

Huyu kipa mechi ya tatu mfululizo anafungwa magoli yanayofanana angekuwa mwarabu ungesikia wachambuzi wanapiga kelele Ila benchi la ufundi Lina matatizo makubwa.
Kipa kakosea nini? Huyu dogo mnamuandama Bure. Yaani mtu kapokea mpira katuliza, kapiga bonge ya mshuti yeye kasevu. Mibeki ipo tu inatazama halafu mumlaumu kipa. Kadakeni nyie.
 
Nitarudi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Kipa kakosea nini? Huyu dogo mnamuandama Bure. Yaani mtu kapokea mpira katuliza, kapiga bonge ya mshuti yeye kasevu. Mibeki ipo tu inatazama halafu mumlaumu kipa. Kadakeni nyie.
Mm shabiki la Yanga ila amin mashabiki wengi wa mpira bongo hata cha ndimu hawajacheza...! Hua wanaamin mpira ni rahis saaaaaaaaana sema ikimpendeza Jah mfee tu
 
Back
Top Bottom