FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

Huyo dogo ukipa hauwezi na hatawahi kuwa competent kwenye hiyo nafasi, sio kipaji chake.

Sitamani kumuona kwenye derby ila najua atacheza, kwakua wameshamsoma basi zitaokotwa nyingi sana wavuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnakata tamaa mapema sana? Sasa Ayubu mlimsajili wa kazi gani kwa bilioni Tatu halafu anakaa benchi?
 
Utopolo wanaongoza ligi ila hawana furaha [emoji23]
Yes uko sahihi utopolo Hatuna Raha sababu mechi za Simba zote marefa wanaziharibu wanaibeba Simba mpaka inatia kichefuchefu!! Mechi ya Singida Jamaa walifunga goli halali refa na kibendera wakalikaa Ile mechi Simba ilitakiwa kupasuka!! Singapore Big Stars wasikubali kukaa kimya walipokwa ushindi wao!!

Yule kolo Mr Karai hafai kuongoza TFF analazimisha Simba mbovu kushinda Kwa nguvu Kila mechi kupitia marefa wa mchongo!

Kwasasa kiwango cha Simba ni sawa na timu zingine ndogo za ligi , timu ikikomaa inashinda japo marefa hawakubali!

Nawaasa Marefa wasikubali kutumika vibaya Maana uchezeshaji mbovu wanaofanya kuibeba Simba ikicheza unawanyima nafasi ya kuchezesha ligi za CAF na Fifa Maana Africa nzima inatazama uchezeshaji wao wa hovyo!

Leo Tena Simba wanabebwa tu
 
Huyo dogo ukipa hauwezi na hatawahi kuwa competent kwenye hiyo nafasi, sio kipaji chake.

Sitamani kumuona kwenye derby ila najua atacheza, kwakua wameshamsoma basi zitaokotwa nyingi sana wavuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Diara alipopigwa mbili na hawa walima mpunga utasema sio kipa mzuri?

Ktk football kipa yeyote anaweza kufungwa acha kumlaumu kijana wetu, na asipocheza kwenye derby Simba tutapigwa, na hayo ndio maombi ya Uto kwamba Ally akae bench.

Are Uto ambassador?
 
Back
Top Bottom