FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

Na Diara alipopigwa mbili na hawa walima mpunga utasema sio kipa mzuri?

Ktk football kipa yeyote anaweza kufungwa acha kumlaumu kijana wetu, na asipocheza kwenye derby Simba tutapigwa, na hayo ndio maombi ya Uto kwamba Ally akae bench.

Are Uto ambassador?
Tarehe 5 haupati kitu
 
Hawa wajinga tutawachakaza hawatoamini, huu ujinga wakituletea 5 zitarudi.
Sisi ndio tuna historia ya kuwafunga nyingi hao.
Kula chuma hicho.
FB_IMG_1697705612169.jpg
 
Sema wewe kakosea nini, goli linafungwa wakati kuna mabeki watano wa Simba na washambuliaji wawili. Halafu eti kipa alaumiwe.
Hata kama kipa ningekua mimi siwezi kutema mpira vile
 
Zimbwe anampaka kazi sana Che Malone
 
Dakika yangapi wadau?
Wengine tuko machakani kwenye majukumu ya kulijenga Taifa.
 
Back
Top Bottom