FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

Kipa kakosea nini? Huyu dogo mnamuandama Bure. Yaani mtu kapokea mpira katuliza, kapiga bonge ya mshuti yeye kasevu. Mibeki ipo tu inatazama halafu mumlaumu kipa. Kadakeni nyie.
Uliona goli alilofungwa na singida, uliangalia mechi ya Al ahly, magoli yote yanafana anatemea ndani ya box badala ya kutembea nje ya box.
 
Naona Simba wanaendelea kumlaumu kipa Kwa makosa ya mabeki. Mnadanganywa ukuta wa Yeriko hahaa.
 
Uliona goli alilofungwa na singida, ukiangalia mechi ya Al ahly, magoli yote yanafana anstemea ndani ya box badala ya kutembea nje ya box.
Huyo dogo ukipa hauwezi na hatawahi kuwa competent kwenye hiyo nafasi, sio kipaji chake.

Sitamani kumuona kwenye derby ila najua atacheza, kwakua wameshamsoma basi zitaokotwa nyingi sana wavuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom