FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

Simba anapiga pira papatu papatu hapa [emoji23]
 
Jf ya sasahivi sio ile tuliyokuta 2009. Ukichangia Akija mtu kutofautiana na uchangiaji kitu cha kwanza ni matusi na sio kupinga kwa hoja , moderator unafuatilia hii Hali ya matusi au matusi ni halali ??
Mtindo huu unashusha hadhi ya jf .
Nimegundua humu tuna share na watoto wetu wa kambo, haki ya mungu.
Kwa umri nilionao mtoto aliezaliwa 2000 ni mwanangu kabisa.

Kwahiyo tuishi nao tu, huku tukiwafunza adabu ambazo wazee wao wameshindwa kuwapa.
Kiufupi nimemsah kabisa huyo kijana.
 
Back
Top Bottom