FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

F9hT8zkXsAESYp1.jpg
 
Hili swala la kumtaja mama yangu huwa silipendi kabisa.
Nakuomba usimtaje tena mama yangu kwani ahusiki kwa lolote hapa.

kama matusi nitukane mimi, kwani ndie ninaehusika, nadhani umenipata.
Mpige na kimwekumweku anakuchokoza huyo. Mlipue tu mkuu.
 
Azizi Ki Goal 6
Maxi Nzingeli Goal 5
Yao Yao Assists 4

This team is fucking Annoying, its Quality is Sensational [emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Hili swala la kumtaja mama yangu huwa silipendi kabisa.
Nakuomba usimtaje tena mama yangu kwani ahusiki kwa lolote hapa.

kama matusi nitukane mimi, kwani ndie ninaehusika, nadhani umenipata.
Jf ya sasahivi sio ile tuliyokuta 2009. Ukichangia Akija mtu kutofautiana na uchangiaji kitu cha kwanza ni matusi na sio kupinga kwa hoja , moderator unafuatilia hii Hali ya matusi au matusi ni halali ??
Mtindo huu unashusha hadhi ya jf .
 
Salaam wakuu.

Mshikemshike wa ligi ya NBC PL kuendelea leo ambapo mnyama mkali na mafundi kandanda Simba sc a.k.a WANALUNYASI watakipiga dhidi ya timu ngumu ya IHEFU FC kutoka Mbeya.

Simba wanaenda kwenye mchezo huu wakiwa nafasi ya pili na alama 15 baada ya kucheza michezo 5 akishinda yote huku wakifunga mabao 14 na kuruhusu mabao 4.

wakati huohuo IHEFU wapo nafasi ya 11 wakiwa na alama 7 baada ya kucheza michezo 6 wakiwa wameshinda michezo 2 sare 1 na kupoteza 3 huku wakiwa wamefunga mabao 3 na kuruhusu mabao 5.

Mchezo huu utakuwa mubashara hapa jamii forum.
Kwa uchambuzi, vikosi na usimulizi wa mchezo huu wa kukata na mundu basi kuwa karibu na uzi huu.
Kila la heri IHEFU piga mbumbumbu hao.
 
Back
Top Bottom