65Dakika yangapi wadau?
Wengine tuko machakani kwenye majukumu ya kulijenga Taifa.
🤣🤣🤣🤣Utopolo wamenuna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Uzi imekuwa mchungu😂Mleta post kapita kushoto.
Utatembeaje na Paka shume keshaloa huko?Uzi hautembei