FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

ANGALIZO...MECHI YA DERBY.....

ROBERTINO anze la full squad ...aache mambo ya kujaribisha..
 
Wewe acha kelele, badala ya kutegemea team nyingine ndogo zikusaidie kuifunga Simba Sc kwanini wewe usiifunge Simba Sc.?

Subiri hiyo tarehe 5 uone kama ni rahisi sana kuifunga Simba Sc kama unavyotaka hizo team ndogo ziifunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pira objective, tunashinda lakini hatuna furaha.
 
Simba imeshinda lakini kuna mambo yanafanywa na wachezaji uwanjani ambayo yatakuja kusemwa pale ambapo timu imepoteza.

Timu ikipata bao tu la uongozi ina relax mizaha inazidi kila mchezaji anaona ni muda sasa wa kuanza kuonesha ujuzi wake kwenye kuchezea mpira.

Timu ikiingoza bao moja, wachezaji hawajitumi kabisa kutafuta mabao mengine zaidi ili kujiweka vizuri kwenye msimamo wa ligi.

Matokeo yake unaona mpinzani akisawazisha wachezaji wote wanakuwa out of focus..... Wanavurugika wanakuwa na temper wanabaki kucheza rafu ambazo zinazidi kuwaweka matatani kuadhibiwa na Refa.

All in all tumeshinda
 
Huu ndo ufaza sasa nausema kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…