FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

Mimi hili pira linanikosha ni kama unaangalia movie ya kutisha...ni kama vile steringi anauwawa kumbe wapiiiiiiiii.....mpk mwisho wa movie steringi hauwawi...yani waleeeeeeee kileleni tunasonga mdogo mdogo...

ALLY SALUM SIO KIPA.
AYOUB MDAKA PANZI
 
Wachezaji walikuwa na uchovu wa safari.. Dar .. Cairo.. Dar..pamoja na kucheza mechi mbili mfululizo zenye mkandamizo mkubwa sana.
Tunapotafakari matokeo ya Leo tuzingatie haya..wachezaji ni binadamu siyo robot's.
Hongera kwao
 
Sawa dada umesikika haya kamvulie kyupi mumeo
 
20ab8c25-131f-45fb-b045-6794b024eb07.jpg
 
Back
Top Bottom