FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Ngoma anachelewa kufanya link kwa haraka
 
Haiwezekani kila azam wakitoka wanaishia golini kwetu
 
Simba anafanya makosa saana, akikutana na timu ambayo inatumia makosa vizuri basi atapigwa nyingi sana, yaani wanaacha space then kurecover zile space hawawezi, sema Azam hawana timu lakini wanaifunga simba vizuri tu, yaani yanga naona akimpiga simba nyingi tu, kwasababu ya makosa ambayo wanafanya simba, wanacheza slowly saana
Usidanganyike na zile 5 za Asante jiesiemu
 
Back
Top Bottom