Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Huyu kipa kila mpira anaojaribu kuucheza na mguu unatinga kwenye nyavu, kwani simba hakuna kocha wa magolikipa? Eneo la goal keeping simba makipa wanafanya makosa yanayojirudia yanayoigharimu timu mara kwa mara, timu inatakiwa kushughulikia jambo hilo bila hivyo ubingwa utapeperuka tena