FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Vipi simba!! Katika msimamo wa ligi lile baridi la kileleni bado Kali sana?
 
Nikiwa kama shabiki kindakindaki tena lialia wa mbumbumbu efusii, naomba Leo nikiri kwa maandishi yangu kwamba sisi Simba sipoti kilabu ni mchelemchele. Ndio !!,

Namaanisha kuanzia benchi la ufundi , viongozi ,wanachama na mpakaa sisi mashabiki maandazi wa mbumbumbu efusii sote hatuna akili .
sisi ni nimatahira na akili zetu ni sawa na akili za abudala kichwa wazi au mwajuma Tako moja.
Wachezaji wetu tunawasifia sana lakini uwezo wao ni duni , wanapapara utasema wanapigia nyeto bafuni..Mfano mchezaji kama ateba kavimba mwili kama bumunda la jero ila akili kisoda , jitu linakimbia upande upande utasema tembo kajinyea .
Kwa Simba sc hii , Dar Young Africa, the club above all itaendelea kutupapasa na kutupelekea moto mpaka maji tuite mmaa!!
1000244696.jpg

UTapelekewa wewe moto na mwiko wako nyuma
 
Wale mlionangoli la Simba tuangazie hapa hili GOLI kwangu n offside sijui nyie hukoo

Huyu msaidizi nahisi alikuwa amekunywaaa smart gin kidogo maana Yuko karibu kabisa na akapeta

Mshukuruni sana Mungu WENU haya mambo hayatakuwepo tar 8 MARCH mjue
 

Attachments

  • IMG-20250225-WA0011.jpg
    IMG-20250225-WA0011.jpg
    17.9 KB · Views: 2
Hakuna OFFSIDE hapa, ni wewe na wenge lako na uchoraji wako mbovu wa mstari unaotaka kutuaminisha uongo.

IMG_20250225_092411.jpg
 
Wale mlionangoli la Simba tuangazie hapa hili GOLI kwangu n offside sijui nyie hukoo

Huyu msaidizi nahisi alikuwa amekunywaaa smart gin kidogo maana Yuko karibu kabisa na akapeta

Mshukuruni sana Mungu WENU haya mambo hayatakuwepo tar 8 MARCH mjue
Mbona umepindisha mstari? Halafu umri wote hou bado tu hujajifunza kuandika vizuri? cc: mdau wa elimu LIKUD
 
Tofauti ya wachezaji wa Simba Sc na yanga ni kwamba yanga wakipoteza mechi wanatafuta walipokosea na mechi zinazo fuata wanakuja wakiwa wamebadilika lakini wa wachezaji wa simba huwa hawabadiliki hata baada ya kupoteza mchezo ulio pita.

Tofauti nyingine wachezaji wa yanga hata wakiwa wanaona wameshashinda mechi,lakini dakika 90 hazijaisha,huwa wanapeleka moto hadi refa atakapo puliza filimbi kuashiria mpira kumalizika dakika zote tisini lakini wachezaji wa Simba Sc wakishinda huwa wanapoza mchezo,wanabweteka,hatimaye wanakuwa kwenye hatari ya kufungwa tena.

Kitu kingine Simba sc huwa wanakera, nikitega Simba sc washinde wakiwa wamevaa jezi nyeupe siku hiyo,siku hiyo wanavaa jezi nyekundu.Nikitega Simba sc washinde wakiwa wamevaa jezi nyekundu siku hiyo,siku hiyo Simba sc wanavaa jezi nyeupe.Kuna mechi fulani ya away ilikuwa Waydad Vs Simba sc nilitega Simba washinde Ile mechi wakiwa wamevaa jezi nyeupe maana nilijua Simba wakiwa away jezi yao ya away ni nyeupe na ilikuwa Simba washinde ile mechi waingie nusu fainali ya ligi ya mabingwa lakini wakashinda Waydad waliokuwa wamevaa jezi nyeupe.

Mechi ya makundi ya Cs Constantine vs Simba sc nilikuwa nimetega Simba washinde wakiwa wamevaa jezi nyekundu maana niliona Simba sc wanavaa jezi nyekundu popote nyumbani na away na ilitakiwa Simba sc washinde ile mechi ili wamalize biashara mapema ya kuingia robo fainali lakini Simba sc ndo wakavaa jezi nyeupe,wakafungwa.

Simba sc inatakiwa wabadilike,wasome alama za nyakati wajue ni wapi wanatakiwa kubadilika.
Mimi huwa naipenda rangi nyekundu na kuna wakati niliwahi kuisifia himu Jf lakini huwa naipenda rangi nyekundu kwa sababu zangu maalum za kiroho.

Simba sc wajue kwa sasa kuna mtu anaitia mikosi jezi nyekundu na manara aliwahi kuropoka kwamba yanga watachukua ubingwa mfululizo mpaka mtu huyo aondoke madarakani. Pia ipo maana ya goli la mama kiroho,hata mimi nilizaliwa kutokana na goli la mama yangu na ugumu wa Simba Sc kushinda mechi upo hapo.Wakati mwingine Simba sc wanashinda wakiwa wamevaa jezi nyekundu ni kwa sababu tu wanakuwa na siku nzuri kazini lakini mara nyingi huwa nawasaidia kiroho Simba sc washinde hata bila wao kujua wameshindaje.Simba sc ilikuwa hata wasivuke kuingia makundi katika kombe hili la shirikisho maana Ile timu ya Libya ilikuwa ni kisiki cha mpingo kwao lakini kuna maneuver yalifanyika ili kuilegezea Simba sc bila hata hao Simba sc kujua. Na kwenye ligi ya sasa ya Nbc bila hayo maneuver kufanyika Simba sc wangekuwa hata nafasi ya nne huko. Maneuver huwa yanafanyika bila hata uongozi wenyewe wa Simba Sc au wachezaji wa Simba Sc kujua.

Gentamycine kama uko karibu na viongozi wa Simba Sc au wachezaji wa Simba Sc waambie wapendelee kuvaa jezi nyeupe kwenye mechi zao wakati huu ambapo huyo mtu anayeitia mkosi jezi nyekundu bado yuko madarakani.Hasa hasa wapendelee kuvaa jezi nyeupe kwenye mechi zao za away kwenye ligi ya Nbc na pia wavae jezi nyeupe kwenye mechi zao za away zinazokuja za robo fainali kombe la shirikisho watanishukuru baadaye.
Hata tarehe 8 Simba sc wakipenda wavae jezi nyeupe. Uzuri wa jezi nyeupe hata kama mmeroga kutokana na utamaduni wenu Simba sc ulivyo,kile mlichoroga kinachukua nafasi yake kutokana na utamaduni wenu na jezi nyeupe inabaki na baraka zake.Hivyo mnakuwa na uhakika endapo nafasi ya uchawi itashindwa kufanya kazi.

Simba sc wapendelee kuvaa jezi nyeupe; jezi nyeupe ndiyo ina baraka za ushindi kwenye mechi zao kuliko jezi nyekundu.Viongozi wa Simba Sc kama wamo humu Jf waione hii comment yangu na wachukue hatua.
 
Haya waliosema kwamba yanga anaongoza endapo simba kama hajacheza ,haya tunaassume mechi inayokuja simba mnashinda ,bado kuna gap la point moja ,ndiyo zile hesabu squence and series nilizokuwa namwambia Kalpana ,gap litaongezeka hadi kuwa na michezo miwili mkononi mbele.
Wewe subiri tucheze kiporo chetu...halafu kwamba nyie ni malaika hamtapoteza ee?? Najua hamtapoteza kwny tawi lenu mwanza kule ijumaa...then?
 
Back
Top Bottom