FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

KILA SIKU NINAANDIKA HAPA, SIMBA INAPASWA KUFANYA SAJILI ZA MABORESHO ZISIZOPUNGUA TANO.

TIMU BADO SANA KUFIKA WALAU NUSU WA ILE YA 2019.

WAACHANE NA.
1. Joshua Mutale.
2. Karabue Chamoe.
3 .Agustine Okejepha.
4. Dese Mukwala.
5. (Ngoma).
6 Manula.

MABORESHO YA SAJILI.
Beki wa kati NO 5.
Kiungo mkabaji No 6.
Kiungo mshambuliaji 10.
Mshambuliaji No 9.

NIMEMALIZA.
 
Hatoki ntu kwa mkapa😅😅
Yes kama chamazi mkasingizia dube anazimiwa taa mkakimbia n uwanja kabisa
1000201500.jpg
 
Nikiwa kama shabiki kindakindaki tena lialia wa mbumbumbu efusii, naomba Leo nikiri kwa maandishi yangu kwamba sisi Simba sipoti kilabu ni mchelemchele. Ndio !!,

Namaanisha kuanzia benchi la ufundi , viongozi ,wanachama na mpakaa sisi mashabiki maandazi wa mbumbumbu efusii sote hatuna akili .
sisi ni nimatahira na akili zetu ni sawa na akili za abudala kichwa wazi au mwajuma Tako moja.
Wachezaji wetu tunawasifia sana lakini uwezo wao ni duni , wanapapara utasema wanapigia nyeto bafuni..Mfano mchezaji kama ateba kavimba mwili kama bumunda la jero ila akili kisoda , jitu linakimbia upande upande utasema tembo kajinyea .
Kwa Simba sc hii , Dar Young Africa, the club above all itaendelea kutupapasa na kutupelekea moto mpaka maji tuite mmaa!!
 
Hii ilikuwa penalty ya wazi kabisa
 

Attachments

  • FB_IMG_17404367409773926.jpg
    FB_IMG_17404367409773926.jpg
    369.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom