FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Hatuna na shida na kombe lao la bahasha wakishindwa kuchukua huu ubingwa tutauchukua sisi halafu tunawapelekea pale jangwani au avic town wakae nao sisi tunataka ubingwa wa CAFCCView attachment 3248346
Nmesevu hii nitakutafuta hio CAFCC nikuonyeshe kitu Minjingu Jingu
Screenshot_20250224_213039.jpg
 
Timu imewekewa mazingira ya uhakika point 24 halafu unasema kuna timu?. Simba inatoa jasho kila mechi tunawapongeza . Madhara yake hata kama wanajifanya hawaoni . Kimataifa ni mdebwedo🤓
Kweli mnatoa jasho bila kusahau mechi ya kwanza na Azam ilitakiwa iwe droo goli zote offside,ila sio mbaya jasho lenu wanakula marefa.
Screenshot_20250223_104915_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom