FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Hahaha
Screenshot_20250224_212923.jpg
 
Timu imewekewa mazingira ya uhakika point 24 halafu unasema kuna timu?. Simba inatoa jasho kila mechi tunawapongeza . Madhara yake hata kama wanajifanya hawaoni . Kimataifa ni mdebwedo🤓
Hatuna na shida na kombe lao la bahasha wakishindwa kuchukua huu ubingwa tutauchukua sisi halafu tunawapelekea pale jangwani au avic town wakae nao sisi tunataka ubingwa wa CAFCC
1000247223.jpg
 
YANGA wana akili sana, sikuzote wanajua kuitoa Simba mchezoni, hii mechi Simba walikuwa washinde ila wamecheza wakiiwaza Yanga na msimamo wa League...
Simba imepata nafasi ×2 ya kuongoza League ktk kipindi ambacho Yanga haina coach na inabadirisha coach, lakini cha ajabu Simba imeshindwa ku maintain...
Nawaambia ukweli msimu huu Yanga ina beba kombe tena bila presha, nyie endeleeni kuuza shanga, hamjiulizi kwanini Yanga wana hakikisha kila mechi mtu anapigwa bao 3 hadi 5 au mnadhan wanafunga kwa bahati mbaya..???
 
Back
Top Bottom