Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Halafu akiwafunga wananunaYanga wanaishangilia Azam š¤£š¤£šš¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu akiwafunga wananunaYanga wanaishangilia Azam š¤£š¤£šš¤£
Duuh, watoto ni watoto tu, tarehe 8 wasijekukimbia na mpira, watu wa zamani watakuwa na kumbukumbu Kipa wao alivokimbia na mpira dk45, timu ya hovyo na inatia aibu taifaMtajuana wenyewe PWAGU NA PWAGUZI
Mumelowa hatari. ššUmetoka mafichoni eeeh
Mshaanza šššViporo ndivyo vitakavyo muangusha simba,mwenzako ameshacheza mechi zake na ameshinda inakuwa rahisi kukufanyia figisu usishinde.
Bila penat hawashindi
Timu imewekewa mazingira ya uhakika point 24 halafu unasema kuna timu?. Simba inatoa jasho kila mechi tunawapongeza . Madhara yake hata kama wanajifanya hawaoni . Kimataifa ni mdebwedoš¤Hii ya leo ilikuwa mechi haswa sio ile ya maelekezo View attachment 3248270
Leo kachezesha refa anayejielewa lazima muone mapungufu1/4 final cafcc, hii ndiyo simba inayoenda kucheza na Almasry?
Hii simba inayocheza leo siyo timu ya kutegemea kushinda mechi yoyote.
Inawezekana wanabebwa tu na jina la simba
View attachment 3248283
Bila maelekezo na makosa ya kiuchezaji hamshindi
Hivi kuna watu wamepigwa LBL? Kama ndiyo basi SISIEMU itaendelea kuongoza hadi mwisho wa dunia maana TZ wajinga ni wengi sana.Hayo ni maoni sio milio
Milio ipo LBL
Azam wamesawazisha dakika ya ngapi?Mpira dakika 90 simba acheni kiburi