FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Dah kudadeki vyura sijui kama watashuka tena *****😭😭
 
Simba tuna kiwango cha upside down sana

Tabia ya wachezaji kuridhika baada ya kuongoza ishakuwa mazoea.

Makosa mengi eneo la chini na kukosa umakini ndio kitu kinachoenda kutugharimu kwenye safari yetu ya ubingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…