Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema chama la wajanja bhna sio uto 😂Kumbe na wewe ni uto?
PoleView attachment 3248204
Mwiko nyuma akiteseka na mwiko wake
ZaidiMatokeo mazuri sana
Tununu wakukajaNgoja nikalale siku ishakuwa mbaya
Hata mimi piaSiipendi Simba
Ahahahha ila akakaza fuvu kabisa ila hatukufika dau lake 🤔Arajiga Hafai kupewa bahasha?
maan ale kuna ile penalt ilikua tupewe
Arajiga Hafai kupewa bahasha?
maan ale kuna ile penalt ilikua tupawe
Na hapewi tena mechi 😂Leo arajiga lazima apewe lawama hajatoa penati
Utashangaa dabi anapewa kale kajamaa ka juzi kazee ka matuta na red card zitakazokuja futwa badaeWataomba refa asipewe mechi yao tena
Sema leo hamkufika dauGSM ana haribu ligi