Na wanafungwa leoSiwapendi Simba! Wakifungwa mimi roho katuuu☺️
Tulia Mkuu.Leo mnapigwa
Ngoma alifanya mistakeDuh kwa mchezo huu wa simba, wakikutana na timu kubwa wataoga sana, simba wanapenda kuchezea chini sana
Kweli kabisaKila la kheri Simba SC.
FT: Simba SC 2 vs 0 Azam FC.
Ni nini hii mkuu, au ubaya ubwela?Imbombo ng'afu
RefA leo hajapewa bahashaHii timu bila refa hamna kitu