GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio tatizo kuwa waislam, wanatakiwa wakumbushweSio jukwaa la Ibada hili Kaka na humo viwanjani wachezaji wengi waislam
Mbona kinyooongeeWewe nani?
Nani kakesha kwenye viwanja vya mpira?.Mnaoshabikia mpira mnajitia presha tu, muislam unatakiwa ukeshe ktk ijitimai badala viwanja vya mpira
Na Ramadhan hioo. Wakae itikafMnaoshabikia mpira mnajitia presha tu, muislam unatakiwa ukeshe ktk ijitimai badala viwanja vya mpira
Saa ngapi hivi sasa?Nani kakesha kwenye viwanja vya mpira?.
Washaswali Isha? Wengine hata magharibi imewapitaSaa ngapi hivi sasa?
Juzi ulikua hussein, jana Tareek leo lloydWenye akili wawili tu.
Kila siku imetokea wapi Chura wewe ?
Wewe labda ndioo hujaswali.Washaswali Isha? Wengine hata magharibi imewapita
HAMNA KITUUU HUMOOOYanga ikiacha simba hii ipate ubingwa itakua fedheha kubwa sana.. mpira haupo Mpira wa matukio