Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hakika.Refa ni man of the match kwa upande wa 5imba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika.Refa ni man of the match kwa upande wa 5imba.
🤣😂😁😁😁😁😁Sio mbaya
Yule refa amewafaa sanaSio mbaya
Maji na mafuta yameanza kujitenga.Simba SC VS Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024
Mechi itachezwa uwanja wa KMC Complex saa 10: 15 Jioni
weee pale refa anaend kuchuku kibund chake lile lilikua goli watu walikua wanapitwa kama majiHivi inaruhusiwa au ndo hivyo tena
Jiandae kula goli 7 maana hauna timu ya kumfunga Yanga SCHapa October lazima tuwapige vyura tukikosea ndo basi tena.
Bahashaaaa kaambiwa piga ua tusifungwaKwakweli Refa sijamuelewa
Hilo halina ubishi swahiba.Maji na mafuta kidogo kidogo yanaanza kujitenga
Usisahau na zile bilioni 20 zitauliziwaHii ndo Simba tunayoijua sasa🤣🤣🤣 Kesho waanze kujadili udhamini wa GSM🤣🤣🤣
Kumbe walitokea kwa nyuma, duh mbona kama walikuwa kwenye party za dede🙃Kuwa mkweli Mtani yaani watu wanatokea nyuma na kuscore goli mbili halafu unasema sio mbaya.
Acha utani banaa. 😅
Refa katuokoa Simba, ...naona Refa anawaelekeza hapa kwamba madogo tulieni maisha hayaendi hivyo.