FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

Toka mwanzo huwa nasema simba ni mbovu bado, Usajili wa bei nafuu, huyu kocha hamalizi msimu watamtoa kafala mapema sana.
Ubingwa wao ni kuifunga Azam goals za offside
 
Hii wanatakiwa Watoe droo; halafu ijayo wafungwe; Hapo ndipo ligi itaanza kuchangamka Rasmi!

Kila la heri coastal union, you are in my prayers!
Imekuwa kama ulivyotamani iwe na itakuwa kama ulivyotamani mechi ijayo.
 
KWELI KABISA MAANA UTOPOLO WANACHUKIA MAFANIKIO YA SIMBA MPAKA TUKICHEZA NA WAGENI WAO WANAENDA KUWAPOKEA NA KUWASHANGILIA KABISA.
Hata ulaya ipo. Team zinazokutana na Man City zinaomba uwanja wa mazoezi Man utd au Wigan. Na timu zikikutana na Asernal wapo Tottenham, Fulham na wengine na wakikutana na Liverpool wanaomba uwanja kwa Everton. Kote huko kunakuwa hakuna maneneno ya kwamba team fulani inapokea wageni.

Hakuna uzalendo kwenye football club ni team za taifa tu ndio zinatuunganisha wote.
 
Back
Top Bottom