FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

Simba nacheki marudiano naona Camara yupo anakabia high line[emoji16]
 
Yaani hata Refa alikosa imani na Camara alipoona jamaa wanaenda tena kumsalimia akaona isiwe tabu.Ile ingekuwa inaelekea coast walahi asingekatisha.
Pole sana. Kwa ushabiki wa aina hii siyo mzuri kwa afya yako.
 
Back
Top Bottom