FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

Aende akataarishe chakula na kumuogesha mdogo wake mapema
 
Hii wanatakiwa Watoe droo; halafu ijayo wafungwe; Hapo ndipo ligi itaanza kuchangamka Rasmi!

Kila la heri coastal union, you are in my prayers!
We jamaa kama mtabiri hiiiiviiiiii
 
Simba pale hamna kitu. Bao la kwanza lilikuwa ni la bahati tu wakati la pili ni la penalti. Makombora ya Coastal ndiyo ya kukumbukwa katika mechi hii. sasa Simba imeanza kukutana na timu zilizo kamilika siyo zile ambazo vibali vya wachezaji vilikuwa havijamilika
 
Hii sawa kwa chombo cha habari cha umma kujizima data!

Screenshot_20241005_031346_X.jpg
 
Back
Top Bottom