FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

Makoloo wameyakanyagaa Sasa,wanakwenda kukutana na Yanga wakiwa na wengee lakutosha afu Yanga wamempa confidence hatarii.Watakula vyuma 7 daaaadeki.
Yanga ni timu kubwa sasa hivi tunacheza kulingana na mahitaji ya mechi.Hiyo tarehe tutakachokifanya kuna mtu ataanza kudai 20bs zake,naamini tunaweza tusicheze mpira mwingi ila watu watakuwa wanashangaa tu mipira impinging wavuni
 
Uwezo wa kutengeneza CLEAR CHANCE upo chini sana...
Fuatilia magoli mengi ya SIMBA 80%...sio ya kiufundi..
Tatizo cjui kuwa ni nature of PLAYERS au mfundishaji ...?
 
Nilikua busy leo aisee🤣
Naomba nianze kusoma kwanzia mwanzo namna gani meza ilipinduka
 
Uwezo wa kutengeneza CLEAR CHANCE upo chini sana...
Fuatilia magoli mengi ya SIMBA 80%...sio ya kiufundi..
Tatizo cjui kuwa ni nature of PLAYERS au mfundishaji ...?
Hili jambo nilikua namwambia mtu jana magoli mengi ya simba ni beki amekosea yaani amecheza boko yanatokea tu out of nowhere hayatengenezwi kwa timu hiyo sio dalili nzuri kwa timu inayopigania kombe na mafanikio
 
Ni vizuri tukipata report ya wachambuzi wanaopima timu kwa mechi mbili au tatu

Ubaya ubwela
 
Wewe Mbumbumbu unaeibuka baada ya timu kufanya vibaya tutashuhudia mengi humu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom