ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Haya twendeni tukafungue nyuzi za kulaumu udhamini wa GSM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka wewe ni mu Israel.Hii wanatakiwa Watoe droo; halafu ijayo wafungwe; Hapo ndipo ligi itaanza kuchangamka Rasmi!
Kila la heri coastal union, you are in my prayers!
🤣🤣🤣Ndio walikuwa wanatupangia kikosi cha timu ya Taifa, Bacca au Job wampishe Hamza, nyie hii dunia imejaa vichaa. 😂😂🙌🏼🙌🏼
Nani OKW BOBAN SUNZU ?Yupo wapi shabiki Lia Lia wa Simba SC 🤣 😁 Mshana Jr
😂🤣😁😁
Refa alivyoona simba anafungwa akakimbilia kumaliza mpiraTutapewa penalty mida si mrefu. Pia tutaongezewa Dakika 9 hapa. Bahasha ishafika mezani kwa Karia.
Umepigaje hapoKichapo kinaendelea pale pale na round mtapiga kelele sanaa
Umepigaje hapo?Simba tunaokota tu points... Ngoja tukae kwanza kileleni na kombe tuliweke kwapani...
Unasema?Hakuna timu ya kuifunga Simba kwenye ligi msimu huu.
Labda itokee red card etc.
Dua la kuku.Siamini yaani niliacha ubao 2-0 narudi nakuta Coastal wamefanya comeback ya ajabu. Shida ni nini wanasimba?
Pia tuzidi kuomba mechi ijayo uto nao watoe droo au wafungwe kabisa
Bila shaka wewe ni mu Israel.