FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

Leo kawaka
Sure mkuu,ujio wa Mpanzu umemfanya kua na akili,,,ila nimependa msimu huu mwalimu ana machaguo mengi pale 6.
Mechi kazi kazi anaitia kagoma.
Mechi za mipira mirefu anaweka Ngoma.
Mechi za kudominate kwa pasi fupi fupi anaweka Okajepha.
 
Hapa game inapigwa siyo kama ile kituko ya jana magoli ya kununua kama nyanya sokoni
 
Okejepha leo match yake hii, utulivu wa hali ya juu sana
 
Huu ushabiki wa kindezi wa Yanga na Simba badala kila upande ushabikie mafanikio yake matokeo yake upande mmoja ukifaninikiwa upande mwingine ndiyo unasikika zaidi uki dis mafanikio ya wengine, hii tabia inaua soka lenu bongo.
Kama mtu kafanikiwa usijivalishe tunguli na roho ya kichawi kutafuta kuponda, just mind own business waacheni wenye wanahusika na mafanikio wafurahie mafanikio yao
 
Back
Top Bottom