FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

COASTAL UNION wameahidi kabisa watazuga tu uwanjani lakini wameshapokea pesa ya SIMBA SC. na wataenda kuwaachia Point 3

Mo kashamaliza mchezo mezani
Mimba
Mbona malalamiko yameanza mapema sana, nilitegemea Novemba au mbele mbele kule.
Na mda mrefu wataandamana mpaka ikulu kupeleka malalamiko yao, maana akili za UTOPOLO anazo manara.
 
COASTAL UNION wameahidi kabisa watazuga tu uwanjani lakini wameshapokea pesa ya SIMBA SC. na wataenda kuwaachia Point 3

Mo kashamaliza mchezo mezani
Na hela ya GSM wamekula, ubaya ubwela 🤣🤣
 
Mimba

Na mda mrefu wataandamana mpaka ikulu kupeleka malalamiko yao, maana akili za UTOPOLO anazo manara.
Acheni kuharibu mpira kwa kutoa rushwa kabla ya game

Makolo mmeishiwa kabisa mbinu za ushindi
 
Back
Top Bottom