Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Mo anaharibu mpiraNa hela ya GSM wamekula, ubaya ubwela 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mo anaharibu mpiraNa hela ya GSM wamekula, ubaya ubwela 🤣🤣
Simba wawe serious sasaClean sheet
Tuachie Spiderman wetuHuyu ndo kamara mnayempaisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uwezo wako wa kufikiri una mashaka makubwa.Acheni kuharibu mpira kwa kutoa rushwa kabla ya game
Makolo mmeishiwa kabisa mbinu za ushindi
Itabidi. Maana ligi itakuwa kama ndondo.Itengenezeni
KWELI KABISA MAANA UTOPOLO WANACHUKIA MAFANIKIO YA SIMBA MPAKA TUKICHEZA NA WAGENI WAO WANAENDA KUWAPOKEA NA KUWASHANGILIA KABISA.Huu ushabiki wa kindezi wa Yanga na Simba badala kila upande ushabikie mafanikio yake matokeo yake upande mmoja ukifaninikiwa upande mwingine ndiyo unasikika zaidi uki dis mafanikio ya wengine, hii tabia inaua soka lenu bongo.
Kama mtu kafanikiwa usijivalishe tunguli na roho ya kichawi kutafuta kuponda, just mind own business waacheni wenye wanahusika na mafanikio wafurahie mafanikio yao
Mbona hakuna updates ww mwanayanga?Simba SC VS Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024
Mechi itachezwa uwanja wa KMC Complex saa 10: 15 Jioni
Coastal walikuwa wanaloga kwa taulo, tumepiga kelele limetolewa.Mbona hakuna updates ww mwanayanga?
Wee mtoto mzuri afu unakua na roho mbaya,ukizeeka utakua "Mfumu,"Nawatakia ushindi wa kishindo, shemeji zangu coastal union......
Nini mbaya? Mbona Lawama?Mo anaharibu mpira
Mbaya ni Baasha zinazotolewa na Boss wa KolozNini mbaya? Mbona Lawama?