Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Simba kachomoa zote mzee!Kwaio mnashindana kuanzia nyuzi za live updates?
Inakuwaje unaanzisha Uzi wakati tayari upo na ushapata wachangiaji wakutosha?? Au ndio akili za kimbumbumbu hizi
Waulize ukireni watakuelezaHawa wakina Putin watatuua aisee
Sasa kwani wewe unasubiria nini hapa kwanini unabishana na watu ambao hawapati chochote.Na wangefungwa ungesemaje.UCHAWI ULIZALIWA TANZANIA.Walishangilia kwenye mechi ya kirafiki? Walishangilia kwenye mechi inayokuongeza point. Sasa sare mliyopata inaongeza point kwenye mashindano yapi?
Na kama sio kitisho hiki cska yange wakutaBahati yao watoto wa Moscow
Nasikia ilibidi tuachie hapo hapo kwenye 2-2, putin alitishia tukifunga vijana wao la 3 anapiga bomu uwanjani na pale makao makuu msimbazi 😂
Ni kweli kabisa, kutoa sare ya 2 - 2 na CSKA Moscow ni kuiaibisha nchi. Heri Simba wangecheza tu na Friends Rangers waifunge 12-0 ili wasiiaibishe nchi[emoji23][emoji23]kuaibisha nchi tu
Nimeona kipindi cha kwanza chote live baina ya CSKA VS Simba, kama Simba beki Mohamed Quattara ameendelea vile vile kuonyesha uzembe anapocheza nafasi ya ulinzi, kibaya zaid kapangwa na Onyango, wote hawana akili, nguvu nyingi maarifa kidogo.
Kocha Robertinho ananitia wasiwasi, kiungo Erasto Nyoni hajacheza takriban mechi 15 pale Simba, amekuwa akisugua benchi sana na wakati mwingine tulibashiri anapelekwa kwa mkopo, Leo kaanza kiungo wa chini kwa timu ambayo ukubwa wake kila mtu anaujua.
Nina wasiwasi sana huyu kocha time will tell
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Walikuwa ni hawa jumlisha wapya walioongeza nguvu. Hawa ni wakali zaidiNi kweli ila je Wachezaji waliyoifunga Real madrid goli 3 una uhakika ndio hao waliopangwa leo?
Weka kikosi cha Friends Rangers. Kila mtu aweke kikosi cha mpinzani wake wa mechi za kirafiki 🤣🤣 🤣Weka kikosi cha Warusi hapa, maana wapo wengi sana, ni lazima tujuwe mnacheza na kikosi kipi?
Mkuu eti inasemekana wa Putin walitaka kuhakikisha vita za silaha za moto kuja kwenye mpira wa mguu. Walitaka kuhakikisha watu wanapigwa wiki, ila muwekezaji (Mo) akawapoza hasira na kuwaambia wawe waungwana wataamsha vita vilivyolala kwa wana msimbazi na kwa bahati mbaya leo ndio dirisha linafungwa. Nongwa zitakuwa nyingi hivyo tusaidiane kufunika kombe.Bahati yao watoto wa Moscow
Nasikia ilibidi tuachie hapo hapo kwenye 2-2, putin alitishia tukifunga vijana wao la 3 anapiga bomu uwanjani na pale makao makuu msimbazi [emoji23]
Kuna watu tangu wazaliwe hawajawahi kushuhudia timu yao inacheza na timu ya UlayaYaani watu wana sherekea mechi ya kirafiki kutoa sare. Hakika kweli faraja ni jambo la muhimu katika maisha ya binadamu ukikosa basi fosi hata upumbavu ukupe furaha.
Ulitaka ucheze wewe ?Nimeona kipindi cha kwanza chote live baina ya CSKA VS Simba, kama Simba beki Mohamed Quattara ameendelea vile vile kuonyesha uzembe anapocheza nafasi ya ulinzi, kibaya zaid kapangwa na Onyango, wote hawana akili, nguvu nyingi maarifa kidogo.
Kocha Robertinho ananitia wasiwasi, kiungo Erasto Nyoni hajacheza takriban mechi 15 pale Simba, amekuwa akisugua benchi sana na wakati mwingine tulibashiri anapelekwa kwa mkopo, Leo kaanza kiungo wa chini kwa timu ambayo ukubwa wake kila mtu anaujua.
Nina wasiwasi sana huyu kocha time will tell
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Yaani watu wana sherekea mechi ya kirafiki kutoa sare. Hakika kweli faraja ni jambo la muhimu katika maisha ya binadamu ukikosa basi fosi hata upumbavu ukupe furaha.
ndio maana Nabi wetu huwa anajichagulia Friends Rangers, wala hana hata hamu na timu za Afrika Kaskazini au UlayaMbivu na mbichi itajulikana kwenye michezo ya kimashindano. Kama unakumbuka msimu ambao mnatolewa kwenye klabu bingwa na Galaxy, Simba ilicheza michezo ya kirafiki ya kimataifa na vilabu vya maana tu na haikupoteza mechi. Lakini ilipokuja mechi za kimashindano ikaleta taswira tofauti. Mechi ya kirafiki mnayosherekea nayo au kubezwa nayo kwa matokeo haiwezi ku reflect chochote katika mechi za kimashindano
Matokeo yakiwa furahisha hamuandiki mashudu kama haya na yakiwakwaza mnaleta pumba kibao
Ingekuwa mechi ya kirafiki haina impact yoyote, basi wala wewe usingekuwapo hapa unamwaga povuWalishangilia kwenye mechi ya kirafiki? Walishangilia kwenye mechi inayokuongeza point. Sasa sare mliyopata inaongeza point kwenye mashindano yapi?
Aliyevimbiwa mihogoWewe ni mbwa