FT || Simba Sc 2 Vs 2 CSKA Moscow

FT || Simba Sc 2 Vs 2 CSKA Moscow

Endelea kupiga shangwe mkuu mmetoka sare na timu ya ulaya. Mna timu ya kuchukua ubingwa hadi wa Europa league
Hata wewe pia ukikaa vibaya tunakupasua vizuri na mwiko wako huko nyuma
SIMBA TAIFA KUBWA
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kinyesi hiki
Mbivu na mbichi itajulikana kwenye michezo ya kimashindano. Kama unakumbuka msimu ambao mnatolewa kwenye klabu bingwa na Galaxy, Simba ilicheza michezo ya kirafiki ya kimataifa na vilabu vya maana tu na haikupoteza mechi. Lakini ilipokuja mechi za kimashindano ikaleta taswira tofauti. Mechi ya kirafiki mnayosherekea nayo au kubezwa nayo kwa matokeo haiwezi ku reflect chochote katika mechi za kimashindano
 
Mkuu umebeza watu kushangilia Sare nimekuuliza je utopolo ajawai shangilia Sare kutoka 2_0 mpaka 2_2 lazima ushangilie
Utopolo aliwai shangilia Sare kama hii 2_0 to 2_2 umesahau? Na je ukumbuki watu walishangilia Sare ilitakiwa ujibu cha ajabu umekuja na mada tena tofauti
Yanga ilishangulia sare kwenye mechi ya kirafiki lini mkuu?
 
Back
Top Bottom