uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,915
- 28,284
Ila inawasumbua sana walitaka wampe doumbia heshima ila ndio hivyo Kila akifika anapaishaHii timu waliyokutana nayo haina tofauti na Makuburi FC.
Ila inawasumbua sana walitaka wampe doumbia heshima ila ndio hivyo Kila akifika anapaishaHii timu waliyokutana nayo haina tofauti na Makuburi FC.
La NBC sawa ila afrika hapanaSimba mwaka huu wana uwezo wa kubeba kabisa taji.
Doumbia awe anaruhusiwa kifunga pia kwa mikono 😅Ila inawasumbua sana walitaka wampe doumbia heshima ila ndio hivyo Kila akifika anapaisha
Acha uchawa wako hapa mnaona bimkubwa hakubaliki mavi nyie naona mnatumia nguvu nyingi kumpaisha kila sehemu mnaleta uchawa wenuSimba na Yanga zote zina nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania gentlemen na hii ni kutokana na serikali sikivu chini ya Amiri jeshi mkuu Mama Samia 🐒
Anahitajika CF, CAM na CDM watulivu, timu itakuwa imekamilika. Kwa maoni yangu.SIMBA MOJA 🦁❤️
Simba ni zaidi ya timu, ni utambulisho, ni historia na ni fahari ya mamilioni ya watu.
Dakika 90 zinaweza kubadilisha matokeo, lakini haziwezi kubadilisha mapenzi ya shabiki wa kweli. 🔥
Leo tunasimama pamoja, ushindi ukiwepo tunashangilia, changamoto zikija tunaitetea timu yetu.
SWALI KWA WANA SIMBA WENZANGU: Unadhani Simba yetu leo ina uwezo wa kutupa furaha au kuna maeneo yanahitaji marekebisho makubwa?
Karibuni na hoja za mpira, si matusi. 🔥🦁
SIMBA NGUVU MOJA! ❤️🤍
Mbabe wa Simba huwa ni Al Ahly tu. Mwaka huu hayupo.La NBC sawa ila afrika hapana
Msimu uliopita Simba alikutana na ahly !?Mbabe wa Simba huwa ni Al Ahly tu. Mwaka huu hayupo.
Manchester united huko anadundwa kama mandonga.Refa simamisha mpira wachezaji wapimwe kwanza aisee. Haaaahaaa
Umeanza kuangalia mpira dakika ya ngapiKocha apumzishe wachezaji kwanza nashangaa kwann ameanza na 1st eleven ile ile ulitakiwa reserve ndio wachezee hii mechi
Ile Simba ya msimu uliopita ilikuwa ya hovyo sana.Msimu uliopita Simba alikutana na ahly !?
Wako wababe wengi tu wa kuiondoa Simba