Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Simba hyo mganga mliyempata msimuache ,
Ikiwezekana mtafutieni na V8
Ikiwezekana mtafutieni na V8
Hata msimu huu ni ya kujitafuta ila sema inakutana na papatu fc ndio maana inaonekana Bora ngoja makundi tuone itakuwajeIle Simba ya msimu uliopita ilikuwa ya hovyo sana.
akiwemo TRAMsimu uliopita Simba alikutana na ahly !?
Wako wababe wengi tu wa kuiondoa Simba
Upuuzi mtupuNaona dawa za kusisimua misuli zimeanza sasa kufanya kazi. Wale jamaa wa doping wanahitajika haraka sana. Haiwezekani hadi wazee kama mimi eti na wenyewe wana shine.
Subiri wachunguzi wa mkojo wawaotee.Upuuzi mtupu
Wala sio tatizo hilo, tatizo ni kukosa striker. Striker anatengewa mpira uwezo hana, unadhani ataendelea kupewa? Angalia alivyotokaKama si kutafuta UFALME ...
Forwadline ya SIMBA ingeshinda hata 8
Mmemtoa Dumbia mnategemea nini?Simba haina Striker
Hamna mchezaji pale.Mmemtoa Dumbia mnategemea nini?
HakikaWala sio tatizo hilo, tatizo ni kukosa striker. Striker anatengewa mpira uwezo hana, unadhani ataendelea kupewa? Angalia alivyotoka
Mkuu kwenye comments zangu sitaki uchafu wa dislikeKatiiiiii
Fanya charting na bwana ako pm uone kama nitaweka dislikeMkuu kwenye comments zangu sitaki uchafu wa dislike
Nani kasema, sijalewa?.😅😅😅Leo Jumamosi ya kwanza kihistoria bwashee min -me hajalewa ,au hamuoni myama......
View attachment 3698362
Fanya charting na bwana ako pm uone kama nitaweka dislikeMkuu kwenye comments zangu sitaki uchafu wa dislike