Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Kaka kumbe huwa na matusi kiasi hiki Mungu akusamehe siyo bureFanya charting na bwana ako pm uone kama nitaweka dislike
Kaka kumbe huwa na matusi kiasi hiki Mungu akusamehe siyo bureFanya charting na bwana ako pm uone kama nitaweka dislike
Nguvu mojaNani kasema, sijalewa?.😅😅😅
Hii Simba unapiga nyeto bila kupenda😅Nguvu moja
Unaonekana tu maana ukilewaga wewe jukwaa linajaa nyuzi za totoziNani kasema, sijalewa?.😅😅😅
Maana ya dislike ni kutopendezwa na ujumbe wako, sasa kama sijapenda ulichoandika unataka nifanyeje. Walaumu walioweka sio mimi. Anapigwa dis Melo utakuwa wewe?Kaka kumbe huwa na matusi kiasi hiki Mungu akusamehe siyo bure
Kumbe😆😆Unaonekana tu maana ukilewaga wewe jukwaa linajaa nyuzi za totozi
Kumbe CCC ana miaka 28 tu?Naona dawa za kusisimua misuli zimeanza sasa kufanya kazi. Wale jamaa wa doping wanahitajika haraka sana. Haiwezekani hadi wazee kama mimi eti na wenyewe wana shine.
Mbona Yanga imefanya vizuri tu na imefuzu makundi? Imebagazwa vipi?Jamani mi naumia sana Yanga ikibagazwa na kubanangwa. Iko wapi ile yanga ya kina Mayele iliyompiga Belozidad counter attack?
Ni sawa jana tulipoambulia pointi 1 ndo imekuwa nongwaMbona Yanga imefanya vizuri tu na imefuzu makundi? Imebagazwa vipi?
Watu weeee watu woyo napiga ya kati na maji makubwa imenoga hatariiiTunanyonga halafu tunabonda tu😊😊😊
Kula pombe bwashee 😅Watu weeee watu woyo napiga ya kati na maji makubwa imenoga hatariii
Eti jamani! Jana Yanga haijapoteza dhidi ya TRA Untd. Hata kumtimua kocha ni kimuhemuhe tu cha uongozi na pressure za mashabiki wasio na mchango wowote zaidi ya kelele.Ni sawa jana tulipoambulia pointi 1 ndo imekuwa nongwa
Hakika bwashee japo huwa na presha ya kuishiwa pesa na sijafanya chochote cha maendeleo zaidi ya kupiga maji tuKula pombe bwashee 😅
Hapo mimi sijui bwashee 😅😅 sina uzoefu napo kabisa , mimi nakula pombe tu kesho itajisumbukia😅Hakika bwashee japo huwa na presha ya kuishiwa pesa na sijafanya chochote cha maendeleo zaidi ya kupiga maji tu
Ngoja niforce kibwashebwasheHapo mimi sijui bwashee 😅😅 sina uzoefu napo kabisa , mimi nakula pombe tu kesho itajisumbukia😅